myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sema mkuu Myoya. Jisikie huru !!!Mh!!!
Ila mi nimechelewaaa Daaa
Niko mtaa wa pili hapoUnakwenda wapi shemeji. Kachungaji haka msikape nguvu juu ya jambo lolote. Mtakapa legitimacy bure tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hujachelewa wala hujawahi. Jiungemo tu...Ila mi nimechelewaaa Daaa
Nimeishiwa kauli..Sema mkuu Myoya. Jisikie huru !!!
Eti kachungaji. Puliiiiiiziiii !!!
Mvinyo mwekundu please !!!Nitalia kweli mimi ujue, ooh! Nikupe rose ili uendelee kuwepo? [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Unamtisha MTU!!Hurricane Maria: Puerto Rico reels as storm turns toward US East Coast
By Joe Sterling and Dakin Andone, CNN
Updated 4:06 PM ET, Sat September 23, 2017
Awww jamani[emoji5] [emoji5] [emoji5] babeNi kweli tupu baby. Tena hiyo in intro tu. You are one of a kind wallahi !!!
Mvinyo mwekundu please !!!
Zinatosha hizo kwa leo shemeji. Nikifunguka hapa naweza nisieleweke. Ushairi si ushairi, paraboz si paraboz ....[emoji1][emoji1][emoji1]mwaga sifa baba,yaani sifia hasa maana wasijekukusaidia kusifia
BAK good niteUkiwa na speed kama ya Rutashubanyuma wala hujachelewa maana huyu hata katika laki moja wa juu hakuwemo lakini ndani ya miezi michache tu kapanda na kuchukua nafasi ya pili na kuanza kuwania nafasi ya kwanza.