Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukiwa na speed kama ya Rutashubanyuma wala hujachelewa maana huyu hata katika laki moja wa juu hakuwemo lakini ndani ya miezi michache tu kapanda na kuchukua nafasi ya pili na kuanza kuwania nafasi ya kwanza.
ISIS asiporudi mapema atakuta keshapinduliwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom