Kwa kusaidia wengine wenye uhitajiKuwa na moyo wa huruma
Amen amen, kila jema kwako dadanguNzuri kabisa. Weekend murua
KuSimamia unachikiaminiKutetea mawazo yako
safi..weekendHabari wandugu.
Ili kufanya mambo yako kiusahihi hatimae ufikie lengoJiamini mwenyewe
James washokera si juma, James alikuwa kiungo wa pilsner dar akahamia pamba ya mwanza mwishoni mwa 80, aliburuza soka mpaka mwishoni mwa miaka ya 90.akiwa sambamba na jembe lake Andru godwinyupo huyu juma washokera class mate wangu o level 2008
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hivi kichwa chako ni kichafu nje ama ndani? [emoji1][emoji1]
ni kwelikila aina ya biashara na mahitaji ya watu...huongezeka kila uchwao leo
ahsante sana mh moudgulfJames washokera si juma, James alikuwa kiungo wa pilsner dar akahamia pamba ya mwanza mwishoni mwa 80, aliburuza soka mpaka mwishoni mwa miaka ya 90.akiwa sambamba na jembe lake Andru godwin
jiji la raha na karaha....wakazi takribani milion 6 wapo dar es salaam