Sitaki kwenda Ikulu kwa sababu itaonyesha kuwa wachezaji hawajui vitu ambavyo amekuwa akisema na vitu ambavyo hakusema kwa nia nzuri.
Aliongezea: Sidhani kwamba kwa sisi kwenda katika Ikulu ya Whitehouse kutaimarisha mambo, na hii ni fursa yangu kusema.
Lakini Trump alijibu kwamba mwaliko huo umefutiliwa mbali.