mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Tupo tena kwenye malikes
Kumbe wewe yangaSafi kabisa
Hii timu imekuwa hatari sanaManC 2 Cry 0 dakika 56
HahahhaLile jukwaa litanisababishia ban ila nalipendaaaa
Pole mama mambo ya EPLMbona watu wanaongea lugha ngumu humu[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Temea mate chiniKichwa cha mwenda wazimu liverpool kama nawaona waki nyolewa tena leo na wale wababe wao.
YapLEI vs LIVER muda si mrefu..watakuw uwanjani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shiiii taratibu usije mpa presha mzee wa liver
HahahahahaHatumpi presha..tuna muanda kisaikologia.
Hii timu hatari sanaIla man city...mungu ana waona kitu mnacho wafanyia wenzenu🙄
Hapo kwenye uchungaji feki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kachungaji feki leo kameibuka na mvinyo mwekundu? Kazi ipooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahahaNa wewe uwe unachukua angalau ka day off kuingia humu! Kila nilipo, upo! Unaniwangia sana aisee! [emoji23][emoji23]
SalamaNawasalimu wanalikes
MiamiaCdm haina imani na vyombo vya usalama
Kwa kila postLikes kwa likes
12:2919:52