Naye aje hapa alete ushuhuda jinsi anavyokupenda ili dunia iamini kuwa si penzi la upande mmojaDunia nzima inanishangaa kwa jinsi ninavyompenda mke wangu.
HahahahahaHome boy, huyu muungwana kila gia mpya ninayoiingia nayo humu yeye anaipangua mapemaaa! Ananizibia riziki huyu jamaa. Asiwe na wasiwasi, wife wake yuko salama salimini! [emoji23][emoji23][emoji23]
Safi sanaFulltime Liver 3 Lei 2 ..Liver wanatoka kifua mbele na ponti 3
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] couthino katika ubora wakeMzee wa liver leo atapumua kidogo! [emoji23][emoji23]
Mh kapotea sanaMkuu Ghazwati habari yako mh mbunge
Mkuu habari za kapoteaMkuu sijambo habari za muda huu moudgulf. Nilitembelea Jimboni Mazizini kuangalia namna gani Uwekezaji ulivyo.
Nipe mpya za mitaa fulani kule... Ha ha ha.
Kabisa mkuu hali si haliDuu angalau leo nasi tusafishe nyota
Katika ubora wake
Magician wa liver
Akierudi mane mambo mukide