ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Sasa hivi ni balaaUzi uliosakamwa na kupigwa vita ya kila aina Leo kimekuwa kituo muhimu cha burudani ndani ya jf
Liver mkiendelea hivyo itakuwa timu ya kwanza kutoka UEFAWalitaka kuharibu matokeo hao
Hawakufua dafu wakapiga myelekaWengine wakapeleka mashtaka kwa mello na timu yake ili uzi ufutwe
Washagonga mwambaWale wenye husda wakaupiga vita uzi
KweliWale wabishi, wagumu na wajanja waliamini Uzi ni wa kijanja
Mpaka sasa wamechukua majamvi na kupumzikaWaliomba mabaya dhidi ya Uzi pendwa lakini haikuwafaa kitu
Uko sawa ingawa sijakufikia wewe.We mzee kwa kutoa ushauri na busara upo vizuri ila si kwa mambo mengine.
Habari rafiki?
Si salama maana salam hii imebeba kitu nyuma yake
Mvua hatari hiyoMvua ya likes[emoji299] [emoji299] [emoji299]
Week ijayo nitajitahidi kufika.Nani mtoro wa kanisani leo?
Mvua mbaya hiyoMvua ya likes[emoji299] [emoji299] [emoji299]
Kote inajurikanaJumapili inaendeleaje kwenye maeneo yenu
Nilitamani kumuona Klipo akisaga meno yakeWalitaka kuharibu matokeo hao
Hapana mkuuSi salama maana salam hii imebeba kitu nyuma yake