Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1506267825289.jpg
 
Kwa kawaida, mgonjwa anatakiwa kumwambia daktari ukweli kuhusu matatizo yake yote ya kiafya ili aweze kusaidiwa kupata tiba sahihi. Daktari naye kwa upande wake, hana budi kuwa mkweli kwa mgonjwa, japokuwa kuna wakati madaktari hujikuta katika wakati mgumu kuwaambia wagonjwa wao mambo ambayo wanahisi kuwa yatawasababishia hofu, kihoro, huzuni, kukata tamaa na kupoteza matumaini.
Madaktari wengine hata hujamaliza kumueleza shida zako tayari keshaandika dawa.
 
Back
Top Bottom