sab JF-Expert Member Joined Jan 25, 2013 Posts 5,744 Reaction score 4,354 Sep 25, 2017 #410,801 Cha leo leo
sawee225 JF-Expert Member Joined Jun 14, 2017 Posts 3,227 Reaction score 12,126 Sep 25, 2017 #410,802 [emoji44] [emoji44] [emoji44] [emoji44]
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Sep 25, 2017 #410,803 08:47
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Sep 25, 2017 #410,804 likes
Yegomasika JF-Expert Member Joined Mar 21, 2009 Posts 13,164 Reaction score 61,278 Sep 25, 2017 #410,805
Yegomasika JF-Expert Member Joined Mar 21, 2009 Posts 13,164 Reaction score 61,278 Sep 25, 2017 #410,806
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Sep 25, 2017 #410,807 08:50
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Sep 25, 2017 #410,808 09:00
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Sep 25, 2017 #410,809 09:20
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Sep 25, 2017 #410,810 Likes kwa likes
chibalangunamchezo JF-Expert Member Joined Aug 28, 2017 Posts 1,542 Reaction score 2,648 Sep 25, 2017 #410,811 Asubuhi njema wana likes.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 25, 2017 #410,812 Hawa ni wanyama wa bahari ambao wanaishi maeneo mbalimbali ya bahari za duniani.wanaishi (survive) sehemu zote za ncha za dunia
Hawa ni wanyama wa bahari ambao wanaishi maeneo mbalimbali ya bahari za duniani.wanaishi (survive) sehemu zote za ncha za dunia
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 25, 2017 #410,813 ambazo ni sehemu hatari kwa wanyama wengine kuishi,na hata maeneo ya bahari joto(tropic water).
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 25, 2017 #410,814 Wanyama hawa wamegawanyika katika makundi mawili,Kundi Moja ni lile la seal wenye masikio,
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 25, 2017 #410,815 na lingine ni lile lisilo na masikio( earless seal)hawa yaani Seal kawaida.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 25, 2017 #410,816 kwa ujumla kuna specie takribani 33 za Wanyama hawa. Muda wao mwingi sana,Wanyama hawa huutumia majini.
kwa ujumla kuna specie takribani 33 za Wanyama hawa. Muda wao mwingi sana,Wanyama hawa huutumia majini.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 25, 2017 #410,817 Seal hupevuka na kuanza kuzaa kwa mara ya kwanza wanapofikisha miaka 3 hadi 5,Ila kipindi cha kujamiana hutofautiana kati ya specie na specie,
Seal hupevuka na kuanza kuzaa kwa mara ya kwanza wanapofikisha miaka 3 hadi 5,Ila kipindi cha kujamiana hutofautiana kati ya specie na specie,
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 25, 2017 #410,818 Hutokea sana ni mwishoni mwishoni mwa kipindi cha Kuchipua (spring season)na msimu wa kuzaana huwa (vuli majira ya kupukutika kwa majani(Autumn) hujifungua mtoto mmoja .
Hutokea sana ni mwishoni mwishoni mwa kipindi cha Kuchipua (spring season)na msimu wa kuzaana huwa (vuli majira ya kupukutika kwa majani(Autumn) hujifungua mtoto mmoja .
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 25, 2017 #410,819 ila hutokea mara chache kuzaa mapacha,na hiyo ni kutokana na kutokuweza kuzalisha maziwa ya kutosha kutoka kwa mama yakayowatosheleza watoto wote.
ila hutokea mara chache kuzaa mapacha,na hiyo ni kutokana na kutokuweza kuzalisha maziwa ya kutosha kutoka kwa mama yakayowatosheleza watoto wote.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 25, 2017 #410,820 Hujamiana tena baada ya wiki sita baada mtoto kuzaliwa,yai hurutubishwa na kujigawa,kisha husimama ukuaji wake kwa wiki cha kisha huendelea kukua.
Hujamiana tena baada ya wiki sita baada mtoto kuzaliwa,yai hurutubishwa na kujigawa,kisha husimama ukuaji wake kwa wiki cha kisha huendelea kukua.