Seal wanazalisha maziwa kwa asilimia 50 ya fat.watoto wao hujipatia karibu pound 3 mpaka 5 kila siku za maziwa ambayo ni sawa na lita 1.36 hadi 2.27.(watoto zinawatosha karibu lita 3 -5 kwa siku za maziwa.
Seal wanadamu nyingi mwilini kuliko aina nyingine ya wanyama,since blood cells keep the oxygen,seal anaweza kuogelea umbali mrefu kuliko aina zingine za wanyama.
wakati anapoogelea hupunguza kiwango cha mapigo ya moyo kwa asilimia 50- 80,Wakati elphat seal hupunguza kiwango cha mapigo ya moyo kwa karibu 112 mpaka 20-50 kipindi hicho cha kuogelea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.