Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Niko salama shemeji. Pole na majukumu. Usipoonekana hapa hapanogi bana. Yote kwa yote tumshukuru Mungu wetu [emoji120][emoji120][emoji120]Nipo shemeji mambo mambo tu yanabana
Habari ya wewe lakini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Shemeji unanataaaaaaaa !!!Aiseeh!nna nata tena?kwani nimekuwa ulimbo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamarekani nao kama ni rais kwa kweli wamepata!
Asante sana[emoji120]Niko salama shemeji. Pole na majukumu. Usipoonekana hapa hapanogi bana. Yote kwa yote tumshukuru Mungu wetu [emoji120][emoji120][emoji120]
Kweli za kale ni dhahabu huu ni wimbo wa mwaka 1980
Miaka 31 baadaye mwaka 2011 producer Brian Kidd anau sample na inatoka ngoma hii