UpendoWe love you too
Hapa wala hatuna hasira sisi tunagonga likes
Habari ya mbowe na bashite wamefanyaje sijui ni huko huko watukanane wee.
Morning our good personMorning my Good people
Dah......nafurahi pia kukuona hapa! Much love! Kula likeKweli na mshukuru sana Mungu kwa kunipa siku nyinge, siku mpya machoni pangu. Najua ni kwa neema tu ndio maana nipo hapa.
Asanteni wote kwa kuamka na kuwepo kwe uzi huu pendwa.
Hey Babe S hope umeamka salama .
Mapenzi yangu kwako.