Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Namshukuru Mungu ipo salama tuu.Safi tu,habari ya jumatatu
Pole sana Mamdenyi. Mwenyezi Mungu akupe Nguvu[emoji120] [emoji120] [emoji120]Leo nimefiwa again. Mniombee
[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji11] [emoji11]![]()
[emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]
Pole sana na mpendwa wako aliyetangulia mbele ya haki apumzike kwa amani. Mungu Akuliwaze kwa pendo lake kuu katika kipindi hiki kigumu unachopitia [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Leo nimefiwa again. Mniombee
Pole na msibaNilifiwa
Tokea Mama afariki 26/12/2016 imefuata misiba tu, tena mikubwa
Avatar zote utamaliza lakini hakuna itakayozidi hii. Ndiyo iliyonileta kwako nikiwa hoi. Mrembo Jakitooo [emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji11] [emoji11]
[emoji22] [emoji22][emoji22] Poleni sanaTokea Mama afariki 26/12/2016 imefuata misiba tu, tena mikubwa
Double tragediesLeo nimefiwa again. Mniombee
Wakati mwingine maisha yako hivyo. Siyo kwako peke yako mpendwa. Usife moyo na Mtegemee Mungu sana. Hatakuacha !!!Tokea Mama afariki 26/12/2016 imefuata misiba tu, tena mikubwa
Aliyetupa ana sababu nzito kuchukua chake na kazi yetu ni kumtukuza kwa neema zake zoteTokea Mama afariki 26/12/2016 imefuata misiba tu, tena mikubwa
Amen !!!Aliyetupa ana sababu nzito kuchukua chake na kazi yetu ni kumtukuza kwa neema zake zote