ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Na kwako piaMuwe na siku njema
Big baby
Pamoja mkuuNa Usafiri wake ni VW (Mgongo wa Chura) toleo la Mwaka 1987.
Na Mjengo wake ukiuona, ni kama Makazi yetu ya Kinyumbani nyumbani.
Jose Mujica namkubali sana.
Hana makuu.
Ngoja nitupie Madude ya Jose Mujica kimtindo.
Shuka chini
Nyumba ya kawaida kabisa
Safi sana hii