Ndio hivyo KiongoziMia mia yule mmarekani ameharibu timu yetu sana sijui aligombana nini na huyu mtu
Jamie carragher dah
Maajabu ya KabumbuHii mechi sisahau kabisa
Na Usafiri wake ni VW (Mgongo wa Chura) toleo la Mwaka 1987.Kuna maisha baada ya kifo nafikiri Huyu soma limemuingia