mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
07:4004:02
AMUN RA
07:4004:02
Hii baada ya kumpiga Ac milan
Liverpool walifanya come back sijui kama itatokea tena katika Uefa champion leage final
Ilikuwa mida mizuri sana kwa cops
Lete mambo
Hahahahaha acha tu ndugu yangumzee wa liver.
Nakukumbusha enzi zako za kulamba Asali ili upotezee haya machungu uliyonayo hivi sasa
07:4704:31
Mabinti wa kibongo wangeanza kumsodoa mama yakeNimeguswa
Kuna maisha baada ya kifo nafikiri Huyu soma limemuingiaNamkubali sana.
Hospitalini anafuata taratibu sawa na Wagonjwa wengine, ikiwa kwenye kusubiri Dawa, yumo.
Ikiwa kwenye kusubiri kumuona Daktari, na yeye yumo.
Wala hana makuu
Lete mkuumzee wa liver naendelea kukupa Tabasamu
Mkuu habari za uzima wako
Hii mechi sisahau kabisa
Jamie carragher dah
Mia mia yule mmarekani ameharibu timu yetu sana sijui aligombana nini na huyu mtu