Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Steven-Gerrard.jpg
Halafu hii pombe ilikuwa na bahati sana na liver carlsberg wakati tunavaa jezi za mdhamini huyo
 
Hello, jamani asanteni sana kwa maombi yenu. Nashukru Mungu naendelea vzr. Shukran za dhati kwa dr Nkinda na dr. Penny wamenihudumia vzr sana. Shida ilikuwa kwenye nerves hakukuwa na mawasiliano ndio maana mguu ukawa unapata ganzi.
Lkn pia nilikuwa na artificial body (chuma) nayo ikaonekana ni sababu basi ikawa imetolewa.
Kwa sasa Alhamdullilah hata nikijishika mguu napata feelings tofauti na mwanzo.

Nilipita kuwasalimia tu wapenzi, kuanzia jtatu nadhani ntarudi rasmi humu.

Nawamis sana wote na ninawatakia wkendi njema.
 
Tunashukuru kusikia hivi,upone haraka na Mungu aendelee kukufanyia wepesi
 
Back
Top Bottom