Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bidada kaambiwa na mumewe wa ndoa usiku alale chumba cha wageni kisa kuna chombo kipya kinaletwa kustarehe usiku huo.

Kuondoka hawez maana mume ndo kila kitu kwao kipesa zaidi huuuhuuu
 
Mbaba alikua na kazi yake nzuri tu akajikuta kapendana na binti wa tajiri. Baada ya ndoa baba wa binti akamshaur aache kazi aliyonayo ili apewe ukurugenz kwenye moja ya makampun ya mzee

Mbaba akakubali,ndoa mwez wa saba bint dharau zikaanza taratiiibuuu
 
Mara outing za usiku na mashost,disco ,kitchen parties,sendooff,kittyparties etc jamaa akuiliza anatukanwa matusi yoootee ulimwenguni mwisho anasimangiwa cheo cha kupewa,nyumba hadi gari vya kupewa na wakwe
 
Back
Top Bottom