Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukiondoa hao pia kuna wanadamu wa daraja la pili, wanadamu hawa hufanana kidogo na binadamu wa daraja la kwanza, wao hujitahidi kadri ya uwezo wao kuwafikia watu wa daraja la kwanza, kimatendo na kiutamaduni, tofauti yao kubwa huibuka katika mambo ya imani, watu wa daraja la pili ambao hupatikana bara la Asia, tofauti yao na binadamu wa ulaya pamoja na America ni kwamba hawa wote wamefikia hatua moja japokuwa ukweli ni kwamba wa kwanza ni wa kwanza ila hawa wa pili nao jitihada zao si haba, na si za kukatisha tamaa, wanahangaika usiku na mchana ili tuu nao wafike huko ambako waliotangulia wapo.
 
Katika jamii hii ya wanadamu waheshimiwa ni wale ambao wana vyeo vikubwa katika taasisi mbalimbali za umma, vitu kama tafiti, vipawa, ubunifu, ujasiriamali, tamaduni, sanaa ni kujitafutia umasikini na kutoheshimika.
 
Katika jamii hii ya wanadamu ni kodi katika Mali za urithi ndio huzingatiwa sana, pengine unaweza ukashindwa elewa Mali za urithi ni zipi, Mali hizo ni zile ambazo si zao la mwanadamu kama migodi, utalii, mafuta, uwekezaji nk, nje ya hapo sijui utapata kuona lipi, tofauti na wenzentu wa dunia nyingine ambao wanawekeza nje ya Mali za urithi.
 
VYAKULA APENDAVYO MWANADAMU********
Vyakula hivyo ni pamoja na vyakula vya wanga, protein na vitamin.
************SIFA ZA MWANADAMU********
Sifa zao hutofautiana kutokana na madaraja yao, kwa kadri daraja linavyoshuka ndio sifa hiyo huwa inaongezeka kwa kiasi kikubwa.
 
1. Uongo
2. Uzinzi
3. Uchawi
4. Usengenyaji
5. Wizi
6. Uharifu
7. Mauaji
8. Chuki.
9.uasi
10. Udikiteta
11. Kukwepa kodi
12. Abortion
13. Ukosefu wa uaminifu
14. Uchonganishi.
15. Kejeri
16. Kutoheshimiana.
17. Dharau.
18. Maringo
19. Ujinga
20. Utegemezi.
21. Kupenda vitu rahisi rahisi mfano uombewe upate kazi, gari, nyumba, upone ukimwi.
22. Kuamini chochote, mfano mganga anaongeza akili darasani, limbwata, kupanda cheo nk.
23. Utapeli wa kijinga, kuuza viwanja Mara mbili nk.
 
UKIKUTANA NA MWANADAMU UFANYAJE********
Cha kwanza usimuamini kwa chochote asemacho, shirikisha vyema ubongo wako katika kila asemalo, maana binadamu ndio mnyama pekee wa hatari kuliko kiumbe yoyote unaye mfahamu kwani sifa zote za wanyama amebeba, hivyo kwa kiasi unacho muogopa simba, chui, nyati, duma ndio muogope hivyo hivyo mwanadamu.
 
MAMBO GANI HUMSUMBUA MWANADAMU**********
*Umasikini
*ujinga
*maradhi
********************SIFA ZA KIPEKEE ZA MWANADAMU ************
1. MWELEWA anaweza jifunza lugha nyingi tofauti tofauti ikiwa ni pamoja na watumiazo wanyama kuwasiliana.
 
2. MBUNIFU ni kiumbe pekee ambaye anaweza kuiga mitindo yote ya ngono ifanyayo na wanyama na viumbe wengine mfano dog style, kifo cha mende, twiga majini, mbuzi kagoma kwenda, na diamond ndio kamaliza kabisa kwa kusema akichuma matembele kwa hiyo hawaishii kwa viumbe tuu bali mimea.
 
5. HAWAJIAMINI pamoja kwamba uumbaji wao, haukuwa pamoja na mavazi lakini hawawezi kutembea uchi, na ikitokea mwenzao kafanya hivyo huonekana kachanganyikiwa au huchekwa, tofauti na viumbe wengine ambao walivyoumbwa ndivyo walivyo mpaka kesho.
 
Back
Top Bottom