moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Habari. SHIMBANiko salama kabisa. Ni Ijumaa nzuri. Tulivu. Vipi wewe?
Habari. SHIMBANiko salama kabisa. Ni Ijumaa nzuri. Tulivu. Vipi wewe?
Habari za jioni broZa mchana
Habari za jioni da numbisaMnyama huyu ni miongoni mwa wanyama wanaokimbia sana, lakini kwa kuwa hutumia miguu miwili bahati yake huwa mbaya anapowindwa na wanyama walao nyama kama simba, kwakuwa hukosa uwezo wa kushindana nao mbio.
Habari za jioni shem[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee shemejiUgali unakuwa mgumu sana,mlenda unasaidia kuutelezesha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Habari zako mkuu Andjul, zama za Afande sharp uwanja wa taifa unamkumbuka?3 kwa mpigo!!! Watakua walaji wazuri sana wa mbegu za maboga na mlonge...Ai wishi na mimi ninge....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Salama kabisa shemeji za Ijumaa?Habari za jioni shem
JAKITOOYou're the meaning in my life
You're the inspiration
You bring feeling to my life
You're the inspiration
Wanna have you near me
I wanna have you hear me saying
No one needs you more than I need you..........[emoji171]
Bundle muhimuJF App yao lazma Uwe na bando ama maana mie inagoma
NjemaHabari ya ijumaa mkuu
Albadir ya nini mkuuNilienda kufanya albadir kidogo
Mpenzi ni mapendo tu, yaweza kuwa kwa mtoto, mama,baba, dada nk.usiogope juu ya hiloNi kweli wewe ni ndugu yangu tumekuwa wote ukubwani,neno unalolitumia kwake la "mpenzi" lina ukakasi...