myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Asubuhi nyingine
Pole sana..Mungu atakuponyaHello, jamani asanteni sana kwa maombi yenu. Nashukru Mungu naendelea vzr. Shukran za dhati kwa dr Nkinda na dr. Penny wamenihudumia vzr sana. Shida ilikuwa kwenye nerves hakukuwa na mawasiliano ndio maana mguu ukawa unapata ganzi.
Lkn pia nilikuwa na artificial body (chuma) nayo ikaonekana ni sababu basi ikawa imetolewa.
Kwa sasa Alhamdullilah hata nikijishika mguu napata feelings tofauti na mwanzo.
Nilipita kuwasalimia tu wapenzi, kuanzia jtatu nadhani ntarudi rasmi humu.
Nawamis sana wote na ninawatakia wkendi njema.
Pole sana rafiki yetu, pole kwa mapito unayopita. Inshaallah Mwenyezi Mungu akujaalie upone haraka ili uendelee na shughuli zako za kila siku.Hello, jamani asanteni sana kwa maombi yenu. Nashukru Mungu naendelea vzr. Shukran za dhati kwa dr Nkinda na dr. Penny wamenihudumia vzr sana. Shida ilikuwa kwenye nerves hakukuwa na mawasiliano ndio maana mguu ukawa unapata ganzi.
Lkn pia nilikuwa na artificial body (chuma) nayo ikaonekana ni sababu basi ikawa imetolewa.
Kwa sasa Alhamdullilah hata nikijishika mguu napata feelings tofauti na mwanzo.
Nilipita kuwasalimia tu wapenzi, kuanzia jtatu nadhani ntarudi rasmi humu.
Nawamis sana wote na ninawatakia wkendi njema.
Amani kwako piaAmani kwenu
Ni heshima kwetuUmoja wetu
9:27,09:04
Amina tumshukuru Mungu kwa kila jamboHello, jamani asanteni sana kwa maombi yenu. Nashukru Mungu naendelea vzr. Shukran za dhati kwa dr Nkinda na dr. Penny wamenihudumia vzr sana. Shida ilikuwa kwenye nerves hakukuwa na mawasiliano ndio maana mguu ukawa unapata ganzi.
Lkn pia nilikuwa na artificial body (chuma) nayo ikaonekana ni sababu basi ikawa imetolewa.
Kwa sasa Alhamdullilah hata nikijishika mguu napata feelings tofauti na mwanzo.
Nilipita kuwasalimia tu wapenzi, kuanzia jtatu nadhani ntarudi rasmi humu.
Nawamis sana wote na ninawatakia wkendi njema.
AMUN RAAlhamdulillah hali inazidi kuimarika.
Morning mkuu niajeMorning
Acha kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]naacha
Mkuu habari za asbh08:53
Ya Siku nyingineAsubuhi nyingine
09:38,09:04