Penguine ni ndege wenye ujuzi mkubwa wa kuogelea,ana uwezo wa kuogelea kwa umbali wa mile 15 mpka 20 kwa saa. Na pia ana uwezo wakubana Pumzi kwa dakika 20 na kupiga mbizi chini zaidi kuliko ndege yeyote.
Uwezo mkubwa macho yao kuona vizuri ,huwasaidia kumuepuka adui wakati atafutapo cha chakula.Na huona vizuri zaidi chini ya maji kuliko nchi kavu,.Maadui wakubwa wa penguin ni pamoja na orcas ,seals, papa Nyoka orcas nK.
Upekee wa rangi za manyoya yao ni kiini macho tosha wawapo majini,Weusi wa migongo yao ,huwakinga wao kutooneka vizuri na adui toka juu,kwa kuzingwa na weusi wa maji.
Penguin huwasiliana kwa kuzalisha sauti tofauti tofaut,na huwasiliana pia kwa kuchezesha vichwa vyao na vibawa.
Manyoya ya penguin ni madogo na yamezungukwa na ngozi ya mafuta.
Emperor na king penguin huwa hawatengenezi viota kwa ajili ya kutagia mayai,Ila jike hutaga yai moja tu,na kazi ya kulalia hufanya Dume mpaka kutotoa,Dume hulifunika yai kwa ngozi yake ya chinikiitwao Brood pouch,hulalia kati ya wiki 8 mpaka 10
Kipindi cha kulalia dume hujinyima kula,na hivyo hupoteza uzito wa mwili wake kabla yakutotoa.
Inapotokea Penguine kapoteza mtoto ,basi huweza kuipa mtoto kutoka familia nyingine ya pengiune,
Fairy penguin ndio Jamii ndogo ya penguine kuliko zote kwa uzito na umbo,Ana uzito wa gramu 0.90 ambayo ni sawa na paund 2 .
Ila Emperor penguin ndio jamii ya penguin wakubwa kiuzito na mwili kuliko wote.wana uzito wa 40.9 amabyo ni sawa na pound 90.
Kipindi cha kulalia dume hujinyima kula,na hivyo hupoteza uzito wa mwili wake kabla yakutotoa.
Inapotokea Penguine kapoteza mtoto ,basi huweza kuipa mtoto kutoka familia nyingine ya pengiune,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.