Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Napenda tukimbize uzi huu kwa amani tu,Ina mikwaruzo au
[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] elfu 70 na Rav 4 ndo imeleta yote hayoHaya sasa
View attachment 595651
Umemuona Cole?Abee
Hahahhaa bora awe mod,jembekillo hana maana katuacha kwenye mataaNatamani ningekuwa ni mod au jembekilo maana.......
ISIS hajatekwa nina uhakika, mwenye mali aje azungumze ukweli wote bila kuficha kitu.ISIS ndo bado katekwa na mchina??
Sijamuona[emoji22][emoji22]Umemuona Cole?
Inasemekana mara ya mwisho mlikuwa pamoja.Sijamuona[emoji22][emoji22]
Siasa zimezidi hadi kero[emoji57][emoji57][emoji57]Hahahhaa bora awe mod,jembekillo hana maana katuacha kwenye mataa
Pamoja mkuuJumatatu inaendeleaje wakuu? Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Cc:mzee wa liverISIS hajatekwa nina uhakika, mwenye mali aje azungumze ukweli wote bila kuficha kitu.
Likes kwa kila postLikes nawe upate likes
Hapana mana mwenyewe sijamuona leo siku ya 2Inasemekana mara ya mwisho mlikuwa pamoja.
Hahahahaha
Hatari sana huyu akiingia taa zinazimaKama wewe utakuwa ni
mfuatiliaji mzuri wa mieleka ,Jina Undertaker Halitakuwa geni masikioni mwako,kwani mmoja kati ya wachezaji tishio katika industry ya Mieleka ,(wrestling)
Acha kabisa[emoji23][emoji23][emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] elfu 70 na Rav 4 ndo imeleta yote hayo
Sawa,Hapana mana mwenyewe sijamuona leo siku ya 2
UndertakerKutokana na ujio wake Ulingoni mara Taa huzimika ghafla, zinapowashwa mara mtu yuko ndani ya Ulingo simchezo,sifa yake kubwa Huwa si muongeaji bali ni mtu wa Vitendo,amekuwa akifanya vizuri karibu Mapambano yake yote.