KeMi sijasikia Kiongozi fanya hivyo
Aje ajeOyooooooooooo
Kula like kwanzaSpidi ya kufika 40,000 imenishangaza sana.
Ngoja nijipange kwa 50k sasa.
Kwa kweliTunakesha kwa ajili ya Uzi huu
HahahaKama hujawai pata 100% ukiwa primary/ Secondary, basi 100% pekee unaweza kupata maishani mwako ni pale simu yako ikiwa imejaa 100% charged
Lakini usisahau kwenu TA na jirani zenu MSA hata 'he' anaweza jigeuza na kuwa 'she'.Kwelo nyie hamuoni wala hamuelewi Dume likiitwa She lazima lije juu hamuoni mtoto yupo kimya
KaribuNiliishia page 4054 so nawapa malike kuanzia hapo
Kwa kweliSpidi ya kufika 40,000 imenishangaza sana.
Ngoja nijipange kwa 50k sasa.
Ni burudani pekee jf isiyokuachia maumivuUzi mzuri usio na ban
manyunyu....Mvua kubwa au manyunyu tu..???
Hahahaha
Mzima,moudgulf