myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kk alikuwa serious bhana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yap. Jiniazi Wenga huyo...
Bob12 wapi jamani? Tangu KK aanze mikwara ya kupeleka posa kapotea mazima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
GunnersArn 1 WBA 0 dakika ya 31
Hakuna ..likes ziko kama pesa..kila ukipata unataka zaidiKweli. Likes hizi we acha tu. Hivi mpaka tufikishe ngapi ndo turidhike? Kuna anayejua?