myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kila jambo na muda wake
Kabisa mkuuTrump naye dikteta uchwara tu. Bila taasisi ngangari tayari angekuwa keshapiga marufuku vyombo vya habari na upuuzi mwingine.
HahahaNaukumbuka huo mtanange. Dhidi ya Hance Money Mayweather.
OKAliteuliwa hile nafasi. Ni kweli hujui mawaziri wanavyopatikana?
Mimi sio mwana siasa na I hate politics in my lifeWapenda siasa bwana. Mnauma na kupuliza. Kuweni na ujasiri tu kama GT yule. Hii ya kusema eti siasa acheni huku wakati mnapenda hamuoni kama ni kujinyima uhuru? Wekeni siasa tutwangane hata ban tuzikamatie huku huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rais wa ajabu haijapata kutokeaThe Hillbillies are now running this country. Lebron asubiri kuambiwa kurudi Afrika na kuishi na nyani wenzake [emoji23][emoji23][emoji23]
Safi sanaArs wanapata bao la kuongoza dakika ya 19