Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-09-25-22-35-19.png
 
Hakuna kitu hapa. Huwa anaropoka akiona kuwa ameelemewa na ishu nzito. Ishu ya Russia haiendi vizuri, Rocket man wa kiduku bado amemkalia kooni na sheria ya bima ya Republican karibu itabuma. Anaanzisha hizi kasheshe za kitoto ili kukwepesha ishu nzito zisijadiliwe. Mianasiasa !!!
Ndivyo walivyo
 
Back
Top Bottom