Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1506366237290.jpg
 
ISIS ndo bado katekwa na mchina??
Sikutegemea kama kungekuwa na siku Goddess angeweza kupotea katika uzi huu. Pesa bila shaka zimamkomalia kiasi kwamba hana hata dakika chache za japo kuja humu na kusema AMUN RA. I am missing her (ila siyo zile picha za kutisha za mida ya wanga)
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wapenda siasa bwana. Mnauma na kupuliza. Kuweni na ujasiri tu kama GT yule. Hii ya kusema eti siasa acheni huku wakati mnapenda hamuoni kama ni kujinyima uhuru? Wekeni siasa tutwangane hata ban tuzikamatie huku huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom