Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Naukumbuka huo mtanange. Dhidi ya Hance Money Mayweather.Ban yangu ya kwanza niliipatia ndan ya huu uzi
Hahahaha
Naukumbuka huo mtanange. Dhidi ya Hance Money Mayweather.Ban yangu ya kwanza niliipatia ndan ya huu uzi
Hahahaha
Kula likes uwezi pata majibuMaswali yasiyojibika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utaratibu wa kutibiwa kwa maombi ya familia umetungiwa kanuni lini
DuKama bima zipo spika na wengineo yawaje hutibiwa nje kwenye hospitali binafsi?
Huyu mama alipataje hile nafasiUmmy adai familia ya sita mfano
Likes mkuuPili Sita alikuwa ni mstaafu wakati Tundu kanusurika kuuawa kazini
General Galadudu....
Kabisa mkuuMkuu,
Kwa heshima yako uliyojijengea hapa unaonaje ukiyaacha hayo na kuendelea kujipatia like kama siku zingine unavyofanya?
Likes mkuuSasa Tundu na Sita wapi na wapi
Likes mkuu punguza siasa mkuuKama kuna bima wabunge walikatwa posho kwa minajili ipi
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]. Heshima yako mkuu!Mkuu,
Kwa heshima yako uliyojijengea hapa unaonaje ukiyaacha hayo na kuendelea kujipatia like kama siku zingine unavyofanya?
Mkuu gonga likes siasa punguza humu utaharibuNa nina mashaka kama wana ubavu wa kuwa na majibu sahihi
Hizi siyo nondo. Ni siasa uchwara tu !!!Mimi sina majibu ya hizi nondo
Kabisa NumbisaSiasa zipunguzwe jaman
Akina nani?Na nina mashaka kama wana ubavu wa kuwa na majibu sahihi