Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,493
- 21,453
Oooh, am tired of waiting.Itakuja tu automatic!
Oooh, am tired of waiting.Itakuja tu automatic!
kabisaale matunda mengi na anywe maji mengi
Nakaribia mkuuKaribu sana Kibiti mkuu
Maalum au yoyote tu.Ale matunda
Moto wa kuotea mbaliBalaa ukizubaa unaliwa. Kuna aliesema 40K itakuja jumapili nadhani saa hii atakuwa anaota
Hahahaaaa!! Kumbe jinsia muhimu eeh!! Ukiusoma tu mwandiko itagundua jinsia.Wajameni ee huyu kumbe ni new comer tumjaze likes za kutosha hadi zigeuke lakes
Ila aseme kwanza jinsia yake.
hahahahahahahaaaDaktari wa meno mwenye mapengo
HahqhahaBabe S kamzidi huyo sana tu
Lol, huyo member ametishaInamanikuswenke..
Hili ni jina la member mmoja humu..
Inamaanisha nini? TunajifunzaAMUN RA
Teh teh tehGejo wa Kichwa Kichafu
Will do thatMeza vidonge vy Vitamin B
Mda utasema mkuuHii yakwangu tulia wewe na Kichwa Kichafu mmesha pata yenu
HahahahTunakesha kwa ajili ya Uzi huu
muda ni sasa...There is no time like the present