myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
15:25
Wanaume wa Bongo hawawezi kufanyiwa hivyo? Au wanafanyiwa wanauchuna tu badala ya kulalamika openly kama wenzao wa Kenya.Itakuwa kenya hiyo
Waaoww waoww shukran mkuuKwa hiyo tunatibiwa na wababaishaji? Acheni hizo madaktari wetu. Tunawapenda sana na kuwategemea.
Jana hapa mtu from nowhere akaniuliza side effects za milonge. Ikabidi nifukue kaburi la milonge na kumuomba ajisomee mwenyewe. Alishukuru sana!!!
Influence yenu ni global na kuna watu wanawafuatilia sana.
Wanaume wa bongo?sijui labda wapoWanaume wa Bongo hawawezi kufanyiwa hivyo? Au wanafanyiwa wanauchuna tu badala ya kulalamika openly kama wenzao wa Kenya.