Umeona ubuyu kwa cofee-table?wa esma,hamisa na petit??Waaoww waoww shukran mkuu
Sipend mtu anaekoroma aaaggrrr[emoji34][emoji34][emoji34]Hata hivyo kukoroma huko sio tu kwamba huharibu usingizi wa anayekoroma bali pia huwasumbua na kuwakeresha wanaolala karibu na mkoromaji. Wale wenye tabia ya kukoroma, hukoroma kila wanapolala na mara nyingi huchoka wanapoamka, na watu wa aina hii hushauriwa kumuona daktari na kushauriwa kuhusiana na tatizo hilo. Lakini kabla hatujaendela mbele ni bora tujue kukoroma hasa ni nini au hutokea vipi?
Kichwa Kichafu,dogo we si unatatizo la kukoroma[emoji23][emoji23][emoji23]Kukoroma ni tatizo linalowapata watu wengi wakati wanapolala ambalo linaweza kuwatokea watu wa kila umri ingawa hutokea mara nyingi kwa wanaume au watu wanene. Kukoroma huzidi kwa kadri umri unavyoongezeka na asilimia 54 ya watu wazima hukoroma baadhi ya wakati huku asilimia 25 ya wengine wakiwa na tabia ya kukoroma kila wakati. Kukoroma baadhi ya wakati kwa kawaida sio tatizo kubwa na mara nyingi huleta tu karaha kwa mtu anayelala karibu na mkoromaji
HahahhahaaKichwa Kichafu,dogo we si unatatizo la kukoroma[emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo upate tiba huku
Wahurumie tuSipend mtu anaekoroma aaaggrrr[emoji34][emoji34][emoji34]
Haya mambo yanachosha yanakera humu
Mhimu sanaTAHADHARI.
KAMA UNAUTAKIA UZI HUU MEMA..USIWEKE HISIA ZA SIASA.
LIPO JUKWAA LA SIASA HUWA TUNAENDA KULE