Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Usifananishe wamwaga povu na wajenga hoja mkuu[emoji3] [emoji3]Heshima yako mkuu. Wajenga hoja nenda jukwaa la siasa huko ukakutane na maGT wa ukweli. Kwema lakini?
Yapkila jambo na muda wake
Bongo wee sidhaniWanaume wa bongo?sijui labda wapo
Ila kama wapo ni waoga
Ila hii niliisikia kenya,mana wao walimua kupaza sauti
Nilikuja nikakuita hukuitika nikaondokaJana nilipita hapa nikaimba nyimbo za ukimwona. Nikakutafuta kule sikukuta [emoji40][emoji40][emoji40]
COLEWORLDLOVESYOU
HahahahahaSipend mtu anaekoroma aaaggrrr[emoji34][emoji34][emoji34]
Wabongo walivyo majasusiBongo wee sidhani
HahahahahaKichwa Kichafu,dogo we si unatatizo la kukoroma[emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo upate tiba huku