Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nilimtafuta jioni sijapata jibu hadi sasa,sijui hata shida ni nini
Tumuombee tu
Halafu ninampango wa kukununia shemeji[emoji19][emoji19]
Tumuombee tu kwa kweli hakuna kingine.

Mimi huyu? Uninunie? Afadhali umnunie Cole siyo mimi. Nitaumia sana [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22].

Kama kuna kitu nimekosa niambie tu. Niko na heka heka za kuhama ndiyo maana hata hapa unaniona kwa kubabaisha babaisha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…