Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndio wewe SYB,hujanambia kama ule mzigo ulipata au panya wamefanya yao,ila i hope all is well huko.
Pole na pilikapilika za kuhama
SHIMBA YA BUYENZE
Hilo nakubali. Nisamehe. Mzigo nilipata. Nikafanya na sherehe. Bado naendelea kufaudu. Usiku wa leo nitakuwa na waifai (wifi). Tegemea mzigo mzito zaidi kesho japo sina uhakika kama posta wataufikisha. Wasije wakakwama getini.

Asante sana shemeji !!!
 
3af9558c7f446b2b7de55cf7f006707f.jpg
 
Back
Top Bottom