Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu dada alivyobomba hivyo na inawezekana anakimwinuko hapo nyuma,atembee nekedi[emoji23][emoji23][emoji23]sipati picha,watu watafaidi[emoji23][emoji23][emoji23]
Tayari wanasema eti mijibaba inanunua tiketi kwenda huko kushuhudia zali. Wanaume yaani akili zetu tunazijua wenyewe tu...

Naona anajaribu kumuiga yule lecturer wa Makelele aliyetembea uchi wakati ule wa kasheshe ya kumpata chansela mpya...but again kwa Wakenya hii haishangazi. Wana tuvituko tuko twa ajabu ajabu twingi tu !!!
 
Kama umeupata nashukuru,mana nilikuwa nafanya mazoezi ya kununa na kuanzisha kesi nzito sana.
[emoji120][emoji120]ubarikiwe
Hapana shemeji. Kila kitu kiko salama. Mungu ni mwema sana !!!

Ikitokea nikakukosea usininunie. Niambie nijirekebishe. Kwa Goddess nilikuwa nakorofisha bila kujua natiwa kwenye ignore list mpaka nikijitokeza hadharani na kulalamika naondolewa kwenye na kuanza kupewa likes kama kawaida. Ndivyo inavyopaswa kuwa....
 
Watu wanajua kuchangamkia fursa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…