Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Misambwanda
Misambwanda
Wakenya kwa vituko ndio wenyeweTayari wanasema eti mijibaba inanunua tiketi kwenda huko kushuhudia zali. Wanaume yaani akili zetu tunazijua wenyewe tu...
Naona anajaribu kumuiga yule lecturer wa Makelele aliyetembea uchi wakati ule wa kasheshe ya kumpata chansela mpya...but again kwa Wakenya hii haishangazi. Wana tuvituko tuko twa ajabu ajabu twingi tu !!!
Swali au jibuLikes au salamu?
Misambwanda
Lilikuwa swali na limeshajibiwaSwali au jibu