Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna aina mpya ya pilau imeingia, inaitwa pilau makenikia maana yake nyama unazitafuta kwa mbali sana na wakati mwingine usiambulie kabisa, chondechonde wenye mpango wa kutualika kwenye idd msitumie aina hiii.
[emoji144] [emoji144] [emoji39] [emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…