Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,444
- 110,233
Yap kafariki kati ya 2012 au 11Hapa! Hivi huyu jamaa hatunaye tena kumbe!!?
Yap kafariki kati ya 2012 au 11Hapa! Hivi huyu jamaa hatunaye tena kumbe!!?
Twende tuNiliishia page 4054 so nawapa malike kuanzia hapo
Kula like kwa kumfafanuliaukiwa kwenye web view nasikia unaziona zote
Kula likeMe, Myself and I
Kula likeMwanasiasa mwenye mapengo haaminiki hata kama aliyapata kwa bahati mbaya.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Watanzania nchini Kenya wameenda Uganda kuomba kibali Burundi cha kuishi Rwanda wakiwa Ethiopia…
Sio lazima uelewe..!!!!
Nimerudi post nitie saini ya likewatu wa kulike hamna kabisa sasa hivi
Karibu tenangoja nikae hivi nitarudigi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji106]Daktari kakutana na muuza nyama buchani wako sare.
Kwenye huu mwanga kuna ambao hawaoniJua linawaka unamulika kwa tochi
Pilau makinikiaKuna aina mpya ya pilau imeingia, inaitwa pilau makenikia maana yake nyama unazitafuta kwa mbali sana na wakati mwingine usiambulie kabisa, chondechonde wenye mpango wa kutualika kwenye idd msitumie aina hiii.
[emoji144] [emoji144] [emoji39] [emoji39]
Nilikuwa sijui aseeYap kafariki kati ya 2012 au 11
Pokea like zakoKwenye huu mwanga kuna ambao hawaoni
Karibu sana kwetu tupate sherehrkea sikukuu pamoja[emoji257] [emoji257] [emoji257]