Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanawake wengi hawawezi kutoka nyumbani bila kuhakikisha kucha zao zimeng’aa kwa rangi nzuri na zenye kupendeza. Bila ya kufanya hivyo utaonekana sio mwanamke wa kileo.
 
Lakini leo hii mimi kama wanasayansi wengi duniani kwa kutambua viambato vilivyopo kwenye rangi nyingi za kucha, nimependa kukujuza zaidi na zaidi athari hizo zitokanazo na kemikali hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…