Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Viambato hivyo vya kemikali ambavyo vina misombo (compounds) inayoweza kusababisha kansa kama vile formaldehyde mpaka zile zinazosambaratisha homoni.
Tafiti mbalimbali zimeweza kugundua Toluene, formaldehyde na dibutyl phthalate –zinazotambulika kwa jina la ‘toxic trio’ kuwa husababisha madhara makubwa ya kiafya kwa wafanyakazi wa saluni nyingi zikiwa ni saluni za kike.