Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
HEALTH&FOOD Haya ndiyo madhara ambayo hutokea mwilini pale ambapo mtu anashindwa kuwahi tiba ya ugonjwa wa malaria.
1. Huaribu ubongo ; Vijidudu vinavyo sababisha malaria huingia katika damu na kufika katika eneo la ubongo na kusababisha mtu kuwa na dalili zifuatazo kuchanganyikiwa, doti doti za damu kuonekana katika macho, mgonjwa kutokuwa na fahamu na mwili wake kukakamaa pia kupata degedege. N.B mgonwa huwa hapati dalili zinazofanana na zile za homa ya uti wa ugongo.