Kushakucha shemeji. Insomnia leo ilikuwa sijalala vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kachungaji ketu feki nako kamepotea potea ama kameshakutokea tena na shehena yake ya maua hivi karibuni?Kumekucha?au umesikia sauti ya mamaa umeamka??[emoji28][emoji28]
Niko powa kabisa mpenzi. Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Umeamkaje Babe?
mkuu unakesha...au wivuNiko powa kabisa mpenzi. Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Naja na ndoo ya lita20[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jiandaeMkojo unachukuliwa kituoni[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mana jana namuuliza kuhusu wewe ananiambia et yeye hajui mana huwa tunaondoka wote[emoji23][emoji23][emoji23]sasa sijui nakupelekaga wapiAnataka kukimbia kesi ili anishambulie vizuri yule[emoji6] [emoji6] [emoji6]
Pole aiseeh!Kushakucha shemeji. Insomnia leo ilikuwa sijalala vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kachungaji ketu feki nako kamepotea potea ama kameshakutokea tena na shehena yake ya maua hivi karibuni?