ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Barcelona
Mkuu unaongelea nini? Sijaelewa kabisa !Biko na Tatu mzuka ni najangili, matapeli na majambazi waliiibuka kw nsimu huu wa mwaka 2017/2018 baada ya mianya yao ya kupiga pesa kufungwa sasa wanehamia kwa wananchi wa kawaida huku wapiga promo wakitoka dsm na pwani.
Ukiwa na akili kidogo hapo ndio pa kuzitumia effectively.