moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Sep 28, 2017 #416,443 Wagonjwa, nsamaka na wengine twawaombea kwa mwenyezi Mungu aliye mkarimu, awaponye maradhi mlinayo mrudie afya zenu kama zamani
Wagonjwa, nsamaka na wengine twawaombea kwa mwenyezi Mungu aliye mkarimu, awaponye maradhi mlinayo mrudie afya zenu kama zamani
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Sep 28, 2017 #416,445
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Sep 28, 2017 #416,450 Wasafiri twawaombea, mwenyezi Mungu muumbaji wa vyote, tunavyovijua na tusivyovijua, awajaalie mfike salama mwendako na mrudi salama kwenye makazi yenu
Wasafiri twawaombea, mwenyezi Mungu muumbaji wa vyote, tunavyovijua na tusivyovijua, awajaalie mfike salama mwendako na mrudi salama kwenye makazi yenu
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Sep 28, 2017 #416,452
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Sep 28, 2017 #416,457 Watumishi wa uma, twawaombea kwa Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema, watumikieni wananchi kwa moyo mmoja, muepuke vitendo viovu sehemu ya kazi.
Watumishi wa uma, twawaombea kwa Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema, watumikieni wananchi kwa moyo mmoja, muepuke vitendo viovu sehemu ya kazi.
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Sep 28, 2017 #416,458