myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Iwe heri na baraka kwetu
Nipo salama, AlhamdulillahSalama mkuu wewe je
Kisha uwasalimie wanauzi na si kupita kimya kimya[emoji3]Kati ya tabia ambayo kwa haraka haraka unaweza kuiona sio ya muhimu sana ila unatakiwa uwe nayo na kuitumia kila siku katika maisha yako ili upate mafanikio ni tabia ya kuamka asubuhi na mapema.