myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
09:18
Yaani hata sijui[emoji19][emoji19][emoji19]Halafu wewe... Gubu za nini asubuhi yote hii?
Nunueni tu,sisi tumezoea mitumba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 597431
Jipatie hiyo ndula kwa $ 859.00 tu!
Ila hiki kiatu ni kizuriView attachment 597431
Jipatie hiyo ndula kwa $ 859.00 tu!
Mkuu huo mkwanja kuukanyaga chini hapa Afrika ni jakamoyo tu. Si kwamba tumefuria kiasi hicho, lakini kukanyaga dorali 860 ukiwa umezingirwa na watu wanaohangaika kupata mlo mmoja kwa siku inahitaji uwe na moyo kama wa HITLER au WAZABANGA.[emoji3] [emoji3]View attachment 597431
Jipatie hiyo ndula kwa $ 859.00 tu!
Nsamaka, pole kwa mapito unayopitia kiafyaHelloo, mambo zenu wapenzi
Asante jirani mpenzi, sasa niko poa kwa kiasi kikubwa.Nsamaka, pole kwa mapito unayopitia kiafya