Ndio hivyo
Asante mpendwaNzuri kabisa nsamaka,pole sana kwa kuumwa.
haya..Ndio hivyo
Habari njema sana hizi. Huyo mbaya wako mna bifu gani? Mnamgombea Andjul ama ?Naona niko vzr kwa 85%, ukiona hadi namtafuta Carba mbaya wangu basi ujue kbs niko fit kwa mapambano hahhahaa
Bageshi [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Heshima kwenu wazee wa misambwanda. Kuanzia mwenyekiti,katibu,mtunza hazina na wanachama wote kwa ujumla.
Hili bifu bhana analijua mhusika tu.Habari njema sana hizi. Huyo mbaya wako mna bifu gani? Mnamgombea Andjul ama ?
Hahahha heshima kwenu wadauBageshi [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️