Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji404] What is Nolan Chart in political science?

This refers to a chart that maps political ideologies based on their support for economic and personal freedom.It was created by American libertarian politician David Nolan in 1969 in order to provide an alternative to the traditional one-dimensional depiction of political positions between the left wing and the right wing.In contrast,the Nolan chart is plotted across four quadrants on a Cartesian chart and provides broader criteria on which to evaluate political ideologies.On the chart,political positions are classified based on the level to which they support or oppose the influence of government on the economic and personal freedom of individuals.
 
[emoji404] What is the Nanny State in political science?

Aterm that refers to any government that intervenes excessively in the daily lives of its citizens.The term is attributed to British Conservative politician,Iain Macleod,who used it in a derogatory sense to criticise government intervention in people’s lives.It is usually used to refer to governments that engage in heavy taxation and regulation of the economy.A nanny state’s supporters believe it can improve the lives of citizens through careful policies,while its critics believe that its policies are not aimed at enhancing the welfare of citizens but instead enriching the lives of the political class with an ulterior agenda.
 
60f85ffc3046e7b0d8979495414c2f47.jpg
 
Endrew Mlungu, mkazi wa Buguruni Dar es Salaam, aliyekuwa akinunua sabuni hizo maeneo ya Buguruni Chama, alisema kuwa anapenda kutumia Life Bouy kwa sababu akiogea zinamtakatisha na huziona taka zikimtoka wakati anajisugua.
 
Anasema pale hali yake ya kifedha inapokuwa si nzuri, hutumia sabuni nyingine lakini akiwa nazo anainunua kwa kuwa humuacha mwepesi na akioga, hufanya kweli.

“Nikiogea sabuni tofauti na hii najisikia kama sijaoga na hata nikiangalia sakafuni wakati najisugua sioni taka kwa maana hiyo hazitoi na hazinisafishi vizuri,” anasema Mlungu.
 
Sikujua Saidi mkazi wa Mbagala Dar es salaam, anasema kuwa anapenda kutumia sabuni ya Rungu kwa kuwa inanukia vizuri sio kama sabuni zinazopendwa kuwekwa kwenye gesti za uswahili ambazo ukiogea kila mtu anakuhisi vibaya.
 
Anaeleza kuwa hata bei yake ni rahisi kwani akitoa Sh 1,000 anapata tatu, tofauti na sabuni nyingine huuzwa Sh 1500.

Richard Mwinyihija anasema kuwa hafahamu chochote kuhusu sabuni zipi dawa na zipi za kawaida anachoangalia ni ipi anaipata kwa ukaribu anapoihitaji.
 
Anafafanua kuwa anapohitaji sabuni huangalia bei na ataipata wapi, kama anapita njiani na kukuitana na sabuni hana haja ya kusubiri daktari amuandikie.

“Kama wao wangekuwa wanajua umuhimu wa sabuni hizi kutolewa kwa maelekezo ya daktari zingeuzwa kwenye maduka ya dawa, lakini zinauzwa huku kama zina madhara tutaumia wengi nani anajua kama ni dawa mimi mwenyewe na kukaa kwangu Mjini sijui, naona nikinunua hizi ndiyo kuelimika, ”anasema Mwinyihija.
 
Ustaadhi Salum anasema kuwa anashangaa kusikia kuwa hizo ni sabuni dawa kwani amekuwa akinunua kila anapozihitaji na mahali popote.

“Jamani tusidanganyane, hivi hizi sabuni kweli zina dawa mbona mimi nimetumia mara nyingi, kama ni hivyo basi elimu inahitajika ni watu wangapi ambao wanatumia kama mimi,” anasema Salum.
 
Mganga mkuu wa Wilaya ya Kondoa, Dk Rashidi Ikeji anasema sabuni yoyote inafaa ili mradi zisiwe na mchanganyiko unaoweza kusababisha madhara. Ijapokuwa kuna uwezekano wa kuzalisha, tatizo kwa sababu inategemea mchanganyiko wake unatibu nini.
 
Back
Top Bottom