myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
12:50
Iko salama kabisa Babe Mungu anasaidia...Hilo halina ubishi. Binti mwema siku yako inaendeleaje? Tumshukuru Mungu !!!
Salama kabisa. Mungu ni Mwema. Chapa kazi mpenzi. Acha wema na ubinadamu wako vikawe sumaku ya furaha na utangamano hapo ofisini kwako. Wamulikie !!!Iko salama kabisa Babe Mungu anasaidia...
Umeamkaje?
mkuu hapa likes kwa likes..Hao wapeleke jukwaa la siasa****** 2025-2035
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] Amen SweetheartSalama kabisa. Mungu ni Mwema. Chapa kazi mpenzi. Acha wema na ubinadamu wako vikawe sumaku ya furaha na utangamano hapo ofisini kwako. Wamulikie !!!